ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 24, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiendesha kikao cha Kamati Kuu cha CCM, kilichofanyika leo mchana jijini Dar es salaam.

No comments: