Awali kabisa Hemed alidai kuwa endapo akiamua kuoa basi atafanya mchakato kama wa BSS wa kufanya mchujo na kupata yule mwanamke bora zaidi na mrembo kitu ambacho kilimfanya ‘Jack wa Chuzi’ kuinuka na kumtaka Hemed awaombe radhi wanawake kwani asiwachukulie kama samaki wanaopatikana kilahisi tena kwa wingi.
Kauli hiyo ya Jack inaonekana kumtokea puani kwani mambo yanazidi kuwa magumu ambapo PHD anadai kuwa atafanya juu chini ili tu amuonesha Jack kuwa yale anayoyazungumza anauwezo wa kufanya na hata yenye anaweza kuwa mmoja kati ya wanawake watakaohitaji kuolewa naye ingawa hana vingezo anavyovihitaji.
“Sikupenda kauli ya Jack kwani namchukulia kama msanii mwenzangu ambaye nafanya naye kazi lakini kitendo chake cha kupinga kauli yangu kumenifanya niwe na hamu ya kutoka naye ili tu ajue kwamba nina uwezo wa kutoka na mwanamke yeyote tena pale ninapomuhitaji tu,” alidai Hemedi.
Hata hivyo mwandishi wa ishu hii baada ya kumtafuta muhusika wa pili wa kideo hiki Jack, alidai kuwa Hemedi hawezi kufanya kitu chochote kwake na anamchukulia kama mtoto anayekuwa na kuanza kujua wanawake hivyo haoni kama anaweza kuleta madhara.
“Hemed ni mtoto hivyo namchukulia kama ndo kwanza anawajua wanawake sasa, kwa sababu mtu mzima awezi kuanza kujisifu kuwa anaweza kutembea na kila mwanamke, kwani tayari ameshapitia huko asa kwa huyo ndo kwanza anawajua wanawamke siyo makosa yake anahaki ya kusema hivyo,” alisema Pentzel.
5 comments:
humpati ngo ngo in you wildest dream ndo utakuja kumpata jack pentzel siyo zoba zoba yeye na jack this guy anahitaji kumuomba radhi mungu wake muumba siyo wanawake japo kuwa kawakosea lakin mmumba wake ndo kamkosea sana kwa sababu anatumia kiburi na kujifanya yeye yuko on top super star, hajui mungu akitaka atamteremsha leo hii hii na ujeuri wake huu wa kuwazalilisha wanawake wa kiislamu
je yeye katika vigezo vyake vya kupata mkee amehifadhi juzuu zote 30
ataishia hivyo hivyo na wala hatompata mkee mtiifu na mcha muungu kwa sababu yeye siye mcha mungu
kiburi hakitokufikisha mbali kaa umuombe radhi muumba wako na uwaombe radhi wanawake wote wa kiislamu
mungu hakukosea kukumba wewe mwanamme,lakini kwa kiburi chako unamuonyesha kwamba mungu kakosea basi subiri adhabu yake ikufikiye
la luke please niwekee comment yangu please au una deal na jamaa nini meaning rafiki yako ndo maana hutaki mabaya yandikwe nimeona comment yangu ya mwanzo ume tia kapuni nishai sana
wewe unapendelea alichokisema huyu jamaa kama ni cha ukweli, because sometimes media wana tengenez beez najua hilo na bongo siku hizi wameendelea ha haha kwa hili
aliye na akili timamu na aliye leleka kikweli kweli na aliyekuwa na aliye mstaarabu hutomsikia hata siku mmoja akiropoka ropoka utumbu wa aina hii kwa majisifu na ujinga wa kitoto.jirekebishe bro hemedi you have a long way to go na mke mwema havutwi hivyo kwako,kuwa mwema na mstaarabu na mcha mungu wewe mwenyewe halafu mke mwema ndo atakujia
omba toba kwa mola wako kwa kauli zako hizi, usijitape bado uko duniani bro mitihani ya mungu hujui usiwadharau wakubwa na wadogo bro kwa ajili ya kuza sura na kipaji chako hapa duniani
loh bongo kuna mambo mengi ya kipuuzi
Sasa kama unajisifia kutembea na wanawake wengi, kwanini unavaa nguo unavyopita barabarani? si kila mtu ameshakuona sasa why cover it up! Dah! wanaume kama hawa sijui wamelelewa vipi aisee!
Huyu jamaa anaejiita Hemed PhD, anapatikana wapi hasa. Nataka kukata ngebe zake za kuwatukana na kudhalilisha wanawake. Na siku atakayo ingia katika maeneo yangu au ya wapambe wangu basi lazima nimpulizie "pumzi kisogoni kwakwe", kwa sababu amezidi ujinga.
Post a Comment