ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 9, 2012

UKISHIKWA, SHIKAMANA

Jerry na mama mwenye nyumba wake kutoka Dallas, Texas, USA

2 comments:

Anonymous said...

mnatupotoshea kiswahili chenu lunga iliyo adhimu hichi si kindengereko au kimatumbwi au kimanyema etc please please dj luke
na kama kumpa hadhi mwanamke kwa nini basi usiandike baba mwenye nyumba na mama mwenye nyumba,kwa nini unaona taabu kuandika bwana na bibi jerry,mr and mrs jerry sio eti leo kujidai na kiswangilishi, mnatupotoshea kishwahili chetu its not a good thing at all, si ungwana wala ustaarabu huu kila mtu anapenda lugha yake na kuezi nendeni nigeria mkawaona jinsi wanavyo isamini lugha yao

kila mara baba mwenye nyuma mama mwenye nyumba, mpangaji yupo wapi tuabiyeni

mdau Arizona

Anonymous said...

they both look so cute jamani hongereni sana lakin jamani si mumeona wanaume wako very natural always hawatengenezi nywele zao kwa nini na sisi tusiwe hivi jamani kwa asili yetu ya kiafrica lets be true natural uone jinsi tutakavo shine more than a star,tujaribu wanawake tutaweza