Kikao cha kamati ya maadili cha CCM chafanyika leo Dodoma
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikartibishwa na Katibu Mkuiu wa Chama hicho Bw. Wilson Mukama katika ukumbi wa White House jijini Dodoma kuongoza kikao cha kamati ya Maadili cha CCM asubuhi hii. Picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment