siyo mume bwege ndo mapenzi haya na wala si limbwata katika dunia ya leo kusaidiana unajua jinsi taabu anayoipata mama mjamzito jinsi unavyo kaa tumboni mwake miezi tisa,hivi ndo inavyotakiwa iwee na mapenzi yanadumu lakini siyo kulazimishana mume aliye aliye na mapenzi ya kweli utamuona ataweza kuyafanya haya kwa hiyari siyo kuburuza na kumlazimisha.
tuoneani huruma katika mapenzi siyo kila kitu mkee akifanye kwani yeye hachoki au siyo kiumbe, wakifanya wazungu ooho tunaona poa wastarabu sisi ngozi nyeusi ooh kaliswa libwata au mkee anamtawala
lakini naye mkee siyo anamuacha mwenzake anayafanya haya yeye anachokoa makucha kwenye kochi au anaona tv,kujifanya kibosile haleti picha nzuri kwa kweli japo kuwa baba yeye akirudi kila leo naye kusoma gazeti kwenye kochi na kuangalia game wote tushirikiyane tulea kwa mapenzi na kuoneana huruma siyo kujipweteka kisa you are a bread winner ndo maana mapenzi siku hizi hayana thamani na haya dumu kila mmoja anajiona too smart anajua yeye tu kumbe utumbo utumbo mtupu na ushamba alipotokea kaja nao kwenye ndoa anaharibu ladha ya mapenzi
4 comments:
huku ulaya ni kawaida ila africa ndio utaonekana umefanyiwa limbwata hahahaha
Pwegeee ni nini???
mapenzi ni kusaidiana usawa kwa wote...!!!

Post a Comment