Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akipunga mkono kuwaaga wenyeji wake baada ya kumaliza Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiagana na Mgeni wake
Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu katika Uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Amani Karume mara baada ya klumaliza Ziara yake ya sku
mbili.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi wakatikati akipunga
mkono kumuaga Rasmi Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu alieondoka
leo na kwenda Dare es Salaam baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili
Zanzibar.Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akiangalia Mizinga ya zamani iliokuwa ikitumika Zanzibar wakati wa utawala wa Kisultani
Naibu
Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akiangalia Historia mbalimbali katika
Nyumba ya Wananchi Forodhani ikiwa ni miongoni mwa ziara yake ya Siku
mbili Zanzibar.
1 comment:
wachina wanataka kurudi karibuni zanzibar njema kwa aliye mwema na nia safi na sisi
Post a Comment