ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 8, 2012

NAIBU WAZIRI MKUU WA CHINA AKITEMBELEA SEHEMU ZA KIHISTORIA ZANZIBAR


Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akipunga mkono kuwaaga wenyeji wake baada ya kumaliza Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiagana na Mgeni wake Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Amani Karume mara baada ya klumaliza Ziara yake ya sku mbili.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi wakatikati akipunga mkono kumuaga Rasmi Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu alieondoka leo na kwenda Dare es Salaam baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili Zanzibar.Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akiangalia Mizinga ya zamani iliokuwa ikitumika Zanzibar wakati wa utawala wa Kisultani
Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akiangalia Historia mbalimbali katika Nyumba ya Wananchi Forodhani ikiwa ni miongoni mwa ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu Baada ya kumaliza ziara yake Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI MAELEZO ZANZIBAR.

1 comment:

Anonymous said...

wachina wanataka kurudi karibuni zanzibar njema kwa aliye mwema na nia safi na sisi