Juu na chini ni Sayuni na Jackson wakiwa kanisani Columbus, Ohio kwenye siku muhimu ya maisha yao Jumamosi Sept 8, 2012 kwenye Ibada ya ndoa yao iliyohudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia
Sayuni na Jackson wakiwa mbele ya Wachungaji Pastor Esther Ngomuo na Pastor June Wilkins kula kiapo cha kuishi pamoja kwa shida na raha kama Mke na Mume mpaka hapo kifo kitakapowatenganisha
Bi Harusi akiletwa madhabahuni na Mjomba wake Alpha Mshihiri
Bi Harusi na wapambe wake wakijiandaa na kujiremba mwisho mwisho kabla ya kuingia kanisani.
Bwn Harusi akijiandaa kuingia Kanisani
Wanakamati katika picha ya pamoja kutoka kushoto ni Bidan, Allan, Amarido na Metty
Juu na chini ni wapambe wa Bi Harusi wakiingia kanisani
Wapambe wa Bi Harusi wakiwa kanisani
Wapambe wa Bwn Harusi wakiwa Kanisani
Hall la Sherehe lilivyopambwa kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment