TANGAZO LA SEMINA KWA WAKAZI WA DODOMA
SEMINA YA KINABII KWA WACHUNGAJI NA WAUMINI WOTE WAISHIO DODOMA
MHUBIRI: BOB WATSON TOKA USA NA TIMU YAKE.
TAREHE: 8/11 MPAKA 10/11/2012
MUDA: SAA NNE ASUBUHI MPAKA12 JIONI KILA SIKU
MAHALI: KATIKA KANISA LA HEMA LA UPAKO LILILOPO; MAILI MBILI HADO
WAANDALIZI; MCHUGAJI ISAYA GWAE AKISHIRIKIANA NA JUMUIYA YA WACHUNGAJI DODOMA.
WOTE MNAKARIBISHWA. ASANTENI
No comments:
Post a Comment