ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 13, 2012

Diamond na Linah watembelea Hifadhi ya Ngorongoro



Afisa Mawasiliano wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA),Vincent Mbirika (kulia) akizungumza jambo na wasanii wa Muziki wa kizazi kipya,Nasseb Abdul maarufu kama Diamond (katikati) na Linah Sanga waliotembelea Hifadhi hiyo ili kuhamasisha wananchi walipigie kura Bonde la Ngorongoro lishinde katika maajabu saba ya Afrika.
Nasseb Abdul maarufu kwa jina la Diamond (kushoto) akiwa na msanii mwenzake Linah Sanga wakiangalia wanyama ndani ya Bonde la Ngorongoro lililopo kwenye Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) ili kuhamasisha wananchi walipigie kura Bonde la Ngorongoro lishinde katika maajabu saba ya Afrika.
Picha na woinde shizza,ngorongoro.

1 comment:

Anonymous said...

ngorongoro safari na suit!