ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 11, 2012

MABDILIKO YA ANUANI YA MAZIKO YA MPENDWA WETU CLARRISE MAYA NIYONKURU

Clarrise Maya Niyonkuru



Kunamabadiliko ya anuani ya maziko ya mpendwa wetu Clarrise Maya Niyonkuru sasa atazikiwa kwenye makaburi ya FT Lincoln Cemetary, INC 
Address ni 3401 Blandensburg Rd,
Brentwood, MD 20722


Mazishi yamepangwa kufanyika Ijumaa Oct 12, 2012 Saa 1:00 PM (Saa Saba Mchana) Baada ya Sala ya mwanzo ya Ijumaa katika msikiti wa (MCC) uliopo Silver Spring MD
Anuwani: 
5200 New Hampshire Avenue,

Silver Spring, MD 20905

Baada ya mazishi mnaombwa kuhudhuria nyumbani kwa Aunty Rehema na Aunty Zuhura kwaajili ya kupata chakula cha mchana.
Anuwani ni 5114 Egewood RD 

College Park MD 20740 


Citi Bank Jina la A/c Mayor A. Mlima acc # 6786528767 Route #
254070116

Auwani ya Bank ni: 
7633 New Hampshire Avenue,

Langley Park, MD 20903


Watanzania wenzangu huyu ni Mtanzania mwenzetu, na anastahili kuzikwa kama Mtanzania yeyote na hana ndugu anaowategemea zaidi yetu Watanzania tuishio Marekani hususani DMV.

Tunaomba ushirikiano wako, chochote kile ulichokua nacho kitasaidia na hatimae kuwezesha mazishi ya Clarrise Maya Niyonkuru. Kwa Wakaazi wa DMV tunaombwa tufike nyumbani kwa marehemu ambako msiba upo na kuna kitabu cha rambirambi address ni
 6731 New Hampshire Ave, Apt 613,
Takoma Park, MD 20912
Tafadhali tujitahidi kufika nyumbani kwa marehemu mida ya jioni kuanzia saa 12 kama unachochote tafadhali tunaomba tukampumzishe mpendwa wetu, Dada yetu, Mtanzania mwenzetu, ameteseka sana na ugonjwa, Tafadhali mpunguzie mateso ya baridi anayopata funeral home, chochote kile ulichonacho kitasaidia na hatimae kuwezesha kumpumzisha mpendwa wetu Clarrise Maya Niyonkuru katika nyumba yake ya milele.Tunaomba ushirikiano wako, kutoa ni moyo leo kwa Clarrise kesho ni mimi na wewe.  

kwa mawasiliano zaidi na maelekezo tafadhali piga simu
Ellis Kibwere 202 306 5252
Mayor Mlima 301 806 8467
Asia Rashidi 301 537 9748
Asante.

2 comments:

Anonymous said...

Kuweni makini jamani, dada huyo ni Mkristo kwa hiyo kama atazikwa kwa Kiislamu mambo mengine yatazuka, ni ushauri wangu tu.

Jonathan
Toronto

Anonymous said...

Please usikurupuke tuu kusema hawa watanzania wanaomzika dada yetu maya wanashirikiana na wanafamilia na Ndugu ya damu wa Marehemu ambaye ni Binamu yake marehemu tupo naye since day 1 na amethibitisha huyu ni muislam, so please wewe mtu wa Toronto kama hutaki kutuchangia usituletee maneno sisi sote tunaufahamu na tunaheshimu dini zote. Binamu yake angetuambia kuwa ni Mlristo tungemzika kikristo, so lets do the right thing for Marehemu.