ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 23, 2012

HAFSA KAZINJA, SUPER BAKULUTU KATIKA MAZOEZI TAYARI KUWASHA MOTO MITINDO NITE 3


Ngouma Lokito na kundi la Supa Bakulutu akiwa mazoezini, tayari kuwasha moto siku ya Jumamosi November 24, 2012 kwenye mitindo Nite 3.
Lokassa ya Mbongo mpiga rhythm guitar wa kimataifa akiandaa mambo kwenye mazoezi makali akiwa tayari kabisa kuwasha moto siku ya mitindo nite 3 hiyo kesho.
Hafsa Kazinja akiwa na Mwimbaji Jules Emmanuel.wakiendelea kujinoa tayari kurusha roho za mashabiki 
John Bash akiwa kwenye gitaa la solo. 
Rapper na mcheza show hatari Roikongo.
Mwimbaji george.
Kushoto Jules, Hafsa Kazinja na Roikongo walicheza staili ya kuvimba katika maandalizi ya show ya Jumamosi Mitindo Nite 3

No comments: