ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 22, 2012

Sherehe za Uhuru Washington State


KWA NIABA YA UONGOZI WA TANZASEATTLE(NDUGU AMIN DOLA...(PUBLIC RELATIONS...TANZASEATTLE/MAYOR WA SEATTLE.....206 422 3050) TUNAWATANGAZIA WATANZANIA  WOTE NA JAAMA/MAARAFIKI WA SEATTLE WA, PORTLAND OR, NA MAJIMBO JIRANI.... MNAKARIBISHWA KWENYE SHEREHE YETU.....TUTAKUA NAYE  BI MITINDO BI. ASYA IDAROUS KHAMSIN KUUONESHA MAVAZI YAKE  KABAMBE YA KISASA, KIMILA E.T.C. KWA TAARIFA ZAIDI..........WASILIANA NA NDG...K.MAPANA (KATIBU MKUU....206 890 4465), NDG YONA(MWENYEKITI...425 590 9292), NDG J.MKUDDE(MWEKA HAZINA.....206 499 7054), NDG FATMA AL TAMIM....206 225 7534.KARIBUNI WOTE

No comments: