Thursday, December 6, 2012

PITA PITA YA VIJIMAMBO HAMDEN, CT

Temba Engineering Service(T.E.S) C.E.O akigagua machine inayotakiwa kurekebishwa na company yake, machine hii inatakiwa kurekebishwa hili iweze kukausha samaki kwa kiwango chenye ubora na na ni T.E.S pekee we nye kuewezesha kufanya hivyo. Machine ilitengenezwa miaka 5 hiliyopita na Mrussia na haijawahi kufanya kazi ndipo T.E.S alivyo itwa kuja kurekebisha hili ifanya kazi hiliyo kusudiwa. Kiwanda hiki kina itwa The International group kipo chini ya Howard sausage plant in Hamden, CT na kina zalisha bidhaa hizi Howard's Fried Pork Skins, Southern Style Souse Meat and Rope Sausage, Fried Chicken Skins, Fried Pork Strips, Large Dry Pork Skins, and Howard's Smoked Sausages (5 Varieties).
 Hapa unaeza kuona sehemu ambayo samaki watakuwa wanawekwa na kukaushwa kwa mvuke na mashine hii ita kuwa na uwezo wa kuchoma samaki wenye uzito wa pound 200 kwa masaa 6.Picha zaidi bofya (read more. )

 T.E.S team wakiwa tayari kutatua tatizo na kuewezesha machine hii kufanya kazi hiliyo kusudiwa.
 Hapa kukipangwa mikakati ya kikazi zaidi hili machine hiyo iweze kufanya kazi yake.
 Unaezakuona jinsi boss wa hiyo company na C.E.O wa T.E.S wakipanga mikakati na uku wakiwa wameshika samaki wanaotakiwa kuchomwa katika machine hiyo ppale itakavyo kamilika
Samaki wakiwa wamekauka na tayari kwa kupelekwa sokoni hiyo ndiyo kazi ya T.E.S baada ya machine hiyo kukamilika

No comments: