Thursday, December 6, 2012

TIMU YA DAR YANGA AFRICAN SPORTS CLUB YA ZINDUA KARENDA YAKE YA 2013

Msanii akiwa ameshika karenda mpya ya timu ya Yanga iliyozinduliwa siku hiyo.
Uzinduzi wa kalenda ya yanga ya mwaka 2013.
Wasanii wakitumuiza katika sherehe ya uzinduzi wa kalenda ya yanga 2013 jana katika viwanja vya jangwani.
Hivi ndivyo wasanii walivyokua wakifanya mambo katika uzinduzi huo. (Picha na Jane John)

No comments: