Wednesday, December 5, 2012

WAZIRI ABOUD MOHAMED AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI KUHUSU UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA WIZARA YAKE

Baadhi ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed (hayupo pichani)alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya Wizara yake katika Ofisi yake Vuga mjini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya Wizara yake katika Ofisi yake Vuga mjini Zanzibar 

Mwandishi wa Gazeti la Nipashe Mwinyi Sadala akiulizwa katika mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed na Waandishi wa Habari kuhusiana na utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya Wizara yake huko Ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.

No comments: