ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 16, 2013

BALOZI BERTHA SEMI-SOMI ANAESHUGHULIKIA WATANZANIA WOTE WAISHIO NJE YA NCHI, MAARUFU KAMA DIASPORA, AMUUNGA MKONO LAU KYARIGA

Super Woman ndani ya uwanja wake wa nyumbani akifanya makamuzi kwenye kipindi kinachoongoza kwa kutazamwa na watanzania wengi kila ifikapo jnne saa tatu usiku ndani ya EATV.... 
Ni Mwanamke mwenye dhamana kubwa sana hapa nchini ambae anashughulikia watanzania wote wanaoishi nje ya nchi. uko juu sana Mh Balozi.....Hongera 
Ni mfano wa kuigwa na watanzania wote waishio nje ya nchi, unatumia vipi taaluma uliyonayo kuongeza thamani katika maisha yako na ya nchi yako....TAFAKARI
Mazungumzo ya Ebeneza product yakinoga ndani ya Wanawakelive
Nguo na viatu vya Super Woman vinapatikana Beauty Point MayFair Plaza wasiliana nao kwa 0713 276 486, 0754 056 409..

Kwa Video zaidi Bofya Read more
Maduka ya Arise Beauty Supply yapo Mikocheni kwa mwalimu Nyerere pembeni ya ATM ya CRDB na la pili lipo Sinza Mapambano linatazamana na sheli ya GBP....
Wasiliana na Arise Beauty Supply kwa no 0714 311 283, 0784 521 171..


Asante kwa kututembelea, ubarikiwe sana na karibu tena....

No comments: