ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 15, 2013

UJIO WA PRECISION AIR MBEYA MTAA WA WEST WAFAIDIKA NA TAA ZA BARABARANI

MAFUNDI WAKIENDELEA KUWEKA MABANGO YA MATANGAZO KATIKA MTAA WA WEST AMBAPO NDIPO ILIPO OFISI MPYA ZA PRECISION AIR JIJINI MBEYA
MTAA WA WEST UHINDINDI MBEYA UMEPATA BAHATI YA KUWEKEWA TAA ZA BARABARANI MAANA MTAA HUU NDIPO ILIPO OFISI YA PRECISION AIR
MAFUNDI WAKIENDELEA KUFUNGA TAA PAMOJA NA MABANGO YA MATANGAZO YA BIASHARA YA KAMPUNI HIYO YA NDEGE

KESHO TAREHE 16/1/2013 SAA 6.30 MCHANA NDEGE YA PRICISIONAIR ITATUA KWA MARA YA KWANZA KATIKA UWANJA WA NDEGE SONGWE KUASHIRIA KUWA SASA SAFARI YA DSM NA MBEYA ZIMEANZA

TUKUMBUKE TULIPOTOKA NA MBEYA YETU
Hapa ndipo palipokuwa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani eneo la uhindini Mbeya mwaka 1972

PICHA NA MBEYA YETU

No comments: