Tuesday, March 26, 2013

Ahsanteni !

Missy Temeke anapenda kutoa shukhrani kwa wale wote waliohudhuria birthday dinner ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo alitimiza miaka 36.  Dinner hiyo iliyofanyika siku ya Jumamosi, March 16th kwenye hoteli ya Hilton ya Rockville, Maryland.

Kwa picha zaidi bofya hapa