Tuesday, March 12, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Kijiwe 12 from Luke Joe on Vimeo.

13 comments:

Anonymous said...

big up vijimambo ni kweli kabisa mnavyosema watu nyumba wametugeuza sisi wa huku kama atm zao hawatuonei hata huruma wengine tuko na mastress kibao wala hatuinjoy kuwa huku kwa sababu ya kuliliwa shida kila leo special wengine tulio waacha watoto wetu na ndugu ndio wanapatia advantage yaani wacha tu hichi kipindi imegusa mahali pake haswa

Anonymous said...

domo kaya ya benja mwaipaja mmeisikia, jana ananifurahisha huyu kadondoka marekani hata miaka mitano au kumi hana lakini ana ji act kujua ebwana eeh na watu kama hawa wenye roho stoki wakifika wanafuata mila za watu wenginewe halafu siku wakifilisika wakirudi bongo ndo wakanza kuomba radhi kwa wazee ndugu na jamaa

mtoto wa kichaga hujamtaja jina nahisi yeye kidogo ana akili aliye kaa katikati yasin yeye mfuta mkia wa benja wote wakuja kuiga mila za watu domo kaya

Anonymous said...

kitu kimoja nampenda benja mwiapaji kuna point anasema ukweli na kuna point kwa ufahamu wake wa kuelewa

na nakubaliana naye kwamba kuna kipindi alisema ukifika marekani ndo shule college na ukiweza kuisha ndo umefika univesity nakubaliana naye kwa sabbau si mchezo maisha ya huku lakini mtu kuiga mila za kizungu kisa watu kuwasaidia nyumbani ni noma sikubaliani naye

Anonymous said...

domo kaya wote isipokuwa jama wa kichaga ambaye jabir jongo hujatuambia jina lake anaonekana ana heshima mtafakari wa mambo na probably shule imepanda

shule bwana usifanye mchezo nayo ukivuka vidatu vyote umeula na kama umelelewa vema na kuijua dini yako

natak kumuliza benja mwaipaja kasema katika vitabu vya dini only 10 percent umsaidiye mzazi vitabu gani au dini gani kwa sababu uislamu hasemi hivyo atufafanuliye mwenzetu na kutujulisha

Anonymous said...

dini hawana bwana makada wa ccm na shule hawana ndo maana wana bwabwaja ovyoo bila mpangilio ni burudani ya hali ya juu kipindi cha kina mzee jongo za kale burudikeni marekani na nani anakutakeni bongo ukiwa huna elimu kuishi bongo kazi na huko marekani kwenyewe mnasema mnaishi lakini hamkuo free mko kama watumwa mnalipa madeni mpaka mnapata wazimu na ndo maana ndani sitting room mnavaa mawani ya juwa badala ya kuvalia njee halo haloo vituko vya wamarekani wa kuji act wa kibongo

Anonymous said...

Wazee wa kijiwe cha ughaibuni Hongera sana kwa kuwafungua macho nudgu zetu wa nyumbani juu ya Hali ya maisha Huku ugenini ikiwa ni Europe or America lakini. Tusiwasimbuliye kwa pesa au misaada tunayowapelekeya au kulalamika kwani tutakosa fadhila au sawabu kwa mola,na hakuna kiwango cha misaada au sadaka Kama huyo mzee hapo aliposema ni 10% ila hiyo itakuwa ni urithi ndio ina mipangiliyo ya kuwapatia familia. M/mungu atawabariki.

Anonymous said...

Wacheni ulimbukeni hawa watu wanangea ukweli whether wana elimu au lah wanaongea from experience BIG UP Vijimambo kwa hichi kipindi It's an entertainment of it's own kind

Anonymous said...

Huyu kaka anaesema tuma elfu kumi wandugu au wazazi wafanye biashara hizo pesa zinatoka wapi baada ya kullipa bills

Anonymous said...

miminimfuhatiliangi sana wa kipindi hiki,ninaomba kama inawezakana kuongeza muda?by kenya.

Anonymous said...

Lakini Benja mbona uwa anapenda kukontrol show kila siku. Yeye anaona point yake ni ya muhimu sana kulioko wengine. Kama Mwinyi anauwezo wa kutuma hela kwa ndungu na jamaa zake that's on him and nobody else's business. Nobody knows but him majukumu aliyonayo nyumbani and personal arrangements he made with his family. Benja anapenda kugeneralize, every family has different needs and u can't compare one to another.

Anonymous said...

Nasikitika sana na maneno ya huyo kijana aliyovaa shati nyeupe. Mimi binafsi naongea kama mzazi na kuwauliza watanzania huko ulaya kwani sisi tunaoishi nyumbani mnatuonaje? Sisi ni maskini sana kiasi kwamba tutakufa tusipopata laki mbili zenu. Jamani kutumia wazazi laki mbili imekua ishu wakati sisi tumekuzaa, kulea na hadi kukuleta huko. Ebu acheni ubaili na ujinga, kaeni na laki mbili zenu lakini kumbuka kuna leo na kesho!

Anonymous said...

NYIE WOTE MKO SAHIHI. ISIPOKUWA HAMJADILI KIUTALAAM.UKIWAPENDA NDG ZAKO UTAWASAIDIA BILA UBINAFSI. LABDA JIULIZE KAMA UNAZO NAFASI ZA KUTOSHA ZA KUKUPATIA PATO KUBWA. KAMA UNAZO WAPE MITAJI YA BIASHARA ILI WASIWE TEGEMEZI KWAKO. USE YOUR COMMON SENCE
TO CREATE NEW THINGS TO HELP YOUR PEOPLE.

Anonymous said...

SAFI SANA BRO ALIE VAA T-SHIRT YA WHITE AMENENA VYEMA...KWA NINI NA SEMA HIVI."THE BIBLE SAY AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEHAE MWANADAMU"..HAYA MAMBO YA KUWATUMIA WATU PESA KUSEMA UKWELI INAKELA SANA.KILA MTU ABEBE MZIGO WAKE MWENYEWE.SASA HIVI NI HIVI KAMA UPO BONGO UTAJIJUA NAKAMA UPO MTONI I MEAN KIWANJA FUNGUKA KUPITIA HAWA MA KAKA.MWENYEWE HUNA WAONA WANYAMWEZI WANA HONGEA WHILE PEMBENI WANA GONGA VYUMA HEAVY SAFI SANA.BY JEMBE FROM SWEDEN