Tuesday, March 12, 2013

MAMMU WA LUGHA KALI ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA

Mammu Kali akisherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia
Coco Lounge siku ya Jumapili March 10, 2013 kuanzia saa 3 usiku  ndugu, jamaa na marafiki walijumuika nae 
Si ndo Birthday Girl akianza kukata cake
Akimalizia kukata keki
Juu na chini Lugha Kali Nickson akilishwa keki kimahaba na Mama Kali
Mama kali akimlisha keki shodti wake
Kenzo akilishwa keki...Chezea urafiki wewe
kwa picha zaidi bofya raed more
Picha kwa hisani ya This is Diamond
Mammu akimlisha Aziza keki
Hamish Donovan The Man Himself alikuwepo kuhakikisha Mipango 
inaenda sawa
Birthday Girl...Mammu Kali..& Divaz
Barakias,Kenzo & Mnyama Bill walikuwepo kushow Love
King Robert & Barakias.

2 comments:

Anonymous said...

sasa mademu kulishana keki mdomoni ndo utamaduni gani huu kwani hamjui mnaweza kuambukizana maradhi kaeni mkifikiria

Anonymous said...

anonymous mbona leo umekuwa nasi hivyo just sema unachotaka kusema,mabinti kulishana keki kwa midomo hailipi. mashokola mageni mambo ya kinjungu hayo.