Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis 1 , Vatican City, Machi 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis 1 ,Vatican City Machi 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
1 comment:
mama Tunu Pinda kuna ulazima gani wa kuvaa bendera kichwani sijaipenda kabisaaaa
Post a Comment