Picha juu na chini ni muonekano wa lango kuu la kuingia katika Maonyesho ya wafanyabiashara wa bidhaa na huduma za harusi (HARUSI TRADE FAIR) yaliyizunduliwa jana tarehe 21 Machi na kuendelea mpaka tarehe 23 Machi katika viwanja vya ukumbi wa pathenon uliopo mkabala na Red Cross barabara ya Ali Hassan Mwinyi Upanga Dar es salaam.
Mustafa Hassanali na team yake kwenye maandalizi ya mwisho kabla ya kuwasili mgeni rasmi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa kufungua rasmi HARUSI TRADE FAIR.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa HARUSI TRADE FAIR 2013. Kushoto ni Muanzilishi na muandaaji wa Harusi Trade fair Mustafa Hassanali. Kulia ni Esi Lovey Sebastian kutoka 360 Degrees.
Picha kwa hisani ya Mo Blog
No comments:
Post a Comment