Tuesday, March 12, 2013

UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CCM TAWI LA DMV




  
 Email address:ccmwashdc@gmail.com

TANGAZO LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CCM TAWI LA DMV
Wanachama wa CCM DMV mnaombwa kuhudhuria mkutano mkuu wa kuchagua viongozi wa CCM katika Tawi La DMV utakaofanyika:
                                                SIKU: JUMAMOSI  March 16, 2013
MUDA:  SAA 9 JIONI (3pm) Tafadhali zingatia muda.
                                               MAHALI: 500  Sligo  Avenue
                                                               Silver Spring,Md 20910
 Ili uweze kupiga kura hakikisha una kadi yako ya Chama na uwe mwanachama hai, na kama     huna    kadi au umepoteza tafadhali wasiliana na Katibu wa Tawi Ndugu
Yacob Kinyemi, Simu (202)-629-7841, email: yacob1972@yahoo.com
                                Faraja Isingo, Simu   ( 301-592-7581)
Nafasi zitakazogombaniwa  ni :
1) Mwenyekiti wa tawi
2) Katibu wa Tawi
3) Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Tawi
4) Katibu wa Fedha na Uchumi wa tawi
5) Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
6) Katibu wa Umoja wa  Vijana wa Tawi (UVCCM)
7) Mwenyekiti Umoja  wa Wanawake (UWT)
8) Katibu wa Umoja wa Wanawake ya Tawi (UWT)
9) Mwenyekiti Umoja wa Wazazi wa Tawi
10) Katibu wa Umoja wa Wazazi ya Tawi
11) Wajumbe 10 wa halmashauri ya Tawi
SIFA ZA MGOMBEA:
1.       Awe na umri kuanzia miaka 18
2.       Umri kwa nafasi za Umoja wa Vijana(UVCCM)ni kuanzia miaka 16-30
3.       Awe mwanachama hai wa CCM  mwenye kadi
4.       Mtanzania mwenye pasipoti ya nchi nyingine pia anaweza kugombea
5.       Mtanzania ambaye hawezi kutoka nje ya Marekani pia anaweza kugombea.
KAMA UNA SWALI LOLOTE  KUHUSU UCHAGUZI  TAFADHALI WASILIANA NA TUME YA UCHAGUZI:
       1.Hidaya  Mahita(240)-271-7799(Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi)
       2.Zainab  Buzohela(202)-403-9732
       3.Anton   Mkai(240)-643-0267
        4.Baraka  Daudi(301)-792-8562

No comments: