Mahakama ya rufaa ya tanzania imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na makada watatu wachama cha mapinduzi ya kutaka chombo hicho kufanya mapitio ya hukumu ya mahakama ya rufaa iliyomrejeshea ubunge mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema Chadema na kuamuru walalamikaji kulipa gharama zote za kesi hiyo.
No comments:
Post a Comment