ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 22, 2013

Rais JK amesema migogoro mingi bara la Afrika imesababishwa na baadhi ya viongozi.

Rais Jakaya Kikwete amesema migogoro mingi katika bara la Afrika imesababishwa na baadhi ya viongozi ndani ya Afrika ambao wanakubali kutumika na watu ama vikundi vya watu wasiolitakia mema bara hilo na kuongeza kuwa umoja wa Afrika hautakuwa na ushirikiano na kiongozi wa nchi yeyote ya Afrika atakayeingia madarakani bila kufuata utaratibu wa kikatiba.

1 comment:

Anonymous said...

Ni kweli Dr Kikwete. Viongozi wengi wa Afrika wapo madarakani kama vibaraka na kuendeleza ujinga wa kusafiri safiri. Hawana vision kama uliyo. You are the best.