ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 21, 2013

TASWIRA ZA MKUTANO WA CHADEMA MWANZAN LEO.


Mkutano wa CHADEMA uliofanyika mkoani Mwanza leo
Mhe. Mbunge Peter Msigwa akihutubia jiji la Mwanza leo Jumapili April 21, 2013 
Juu na chini ni Wafuasi wa CHADEMA wakiwasikiliza viongozi wao kwenye mkutano wa CHADEMA Mwanza leo.

2 comments:

MTOTO WA KISANGU said...

Hiyo ni ishara tosha kwamba watanzania wameamka kwa kiasi gani tunamuomba Mungu awajaalie makamanda wetu wawe na afya njema ili mapambano yaendelee mpaka kieleweke tukaze buti ndugu wananchi ili watoto zetu wasipate maswaibu ya kufeli tena toa support kwa hao makamanda........

MTOTO WA KISANGU said...

Chadema ni chama makini kuliko magamba wanavyoelewa kwani ndio maana wanatumia mda mwingi kupambana nacho eti tu waweze kukinyamazisha, nao wanasema hivi hawalali mpaka magamba yalale.