Mkuu wa Mkoa DC, Saleh Mohammed alimaarufu mze wa piga box (kushoto) katika picha ya pamoja na Eliud Mbowe Jumamosi April 20, 2013 kwenye Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC.
Eliud Mbowe (shoto) na Mayor Mlima katika picha ya pamoja.
Kushoto ni mtoto wa Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitilya (jina lake alikupatikana) katika picha ya pamoja na Founder wa AllAfrika Travel & Logistics Pius Waricoy.
Eva kutoka Wizara ya Fedha katika picha ya pamoja na Baraka Daudi
Mama Na mwana katika picha ya pamoaja.
2 comments:
Nani alimchaguwa mku wa mkoa? Usibanie hii luka pls
kudumaza akili tu eti tuna matawi ya vyama vya upinzani huku majuu ni kwa ajili ya nani na faida ya nani ujinga tu bora uwe mzee wa piga box upate chako utulie na maisha siyo leo kujihashua na vyama
Post a Comment