ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 15, 2013

UMATI WAFURIKA MKUTANO WA CCM RUAHA MKOANI MORO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro jana, Aprili 14, 2013.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM, uliofanyika jana Aprili 14, 2013 katika kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro.

(Picha zote na Bashir Nkoromo).

No comments: