Wednesday, May 15, 2013

HAYA KUMEKUCHA KWETU FASHION AJA NA KITU YA SUMMER

Coming soon Masai fabrics mixed with jeans ,summer design by KWETU fashion ,still in process .stay tune.
Missy T akiwa kazini

7 comments:

Anonymous said...

Hongera sana, vitenge vyako vizuri sana sana.

Anonymous said...

Good job mama tutapata wapi nguo zako Kama tunataka kununua?

Anonymous said...

Luka wewe fala kweli.kwani huoni hio zipu sasa kwa nini umezuia koment.unalipwa naye?maana watu wote tunajua anapenda vya dezo.pole Grand pa.

Anonymous said...

Sisi watanzania tunamatatizo sana. Kinakuhusu nini wewe kama anapenda vya dezo?. If you don't have anything nice to say, please don't say it. Sasa wewe wa juu unaonekana unamuonea mwenzio wivu.tuacheni mambo ya kijinga. Missy T do your thing may God bless you and give you the strength and wisdom to continue with your business endeavors

Anonymous said...

Hongera sana Miss T kaza buti maneno kila siku yako wewe ni kuendelea kujibidiisha na Kazi yako. Yaani unajua sana kupangilia nguo zako hata Mimi mwanaume nikiona kanga jinsi unavyoishona nachanganyikiwa good job and keep it up.Hawakuwezi.

Anonymous said...

Huyu msichana anahitajika hongera kwa kwele lakini watu hawataki kukubali ndio maana kila anachokifanya lazima watie doa.Mimi nikiwa Kama Mimi kwa kweli hawatoweza Kum put down,hongera sana miss wetu wa DMV lakini basi punguza nyodo miss maana nasikia unaringa sana.

Anonymous said...

This lady is on fireeeeeeee