ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 17, 2013

MASUPER STAR WANAOKIPIGA TEAM YA BARCELONA WALIVYO TOKELEZEA NA WACHUMBA ZAO KWENYE PART YA KUSHEREKEA UBIGWA

Mvunja rekodi: Lionel Messi akiwasili na mpenzi wake usiku wa jana
Amepona: Eric Abidal amerejea uwanjani mwaka huu baada ya kufanyiwa upasuaji wa ini
Barcelona akwa sasa inaizidi pointi 10 Real Madrid ikiwa imebakiza mechi moja, wakati ligi imebakiza wiki mbili.
Mabeki wa taji: Carles Puyol na Dani Alves 
David Villa akiwasili kwenye sherehe za ubingwa Barcelona 
Cesc Fabregas na mpenzi wake, Daniella Semaan wakiwasili
Eniesta akiwa na kimwana wake
Gerard Pique akiwa na wake wa ubani

Kocha Tito Vilanova akiwasili, picha na Bin Zubeiry

1 comment:

Anonymous said...

haya mambo ya nyumba ndogo na cheating zilivyojaa bongo ukisema Yanga walete vimwana wao kusherekea ushindi si utazua kesi za fumanizi shughulini mhh inakua kweli?