Mvunja rekodi: Lionel Messi akiwasili na mpenzi wake usiku wa jana
Amepona: Eric Abidal amerejea uwanjani mwaka huu baada ya kufanyiwa upasuaji wa ini
Barcelona akwa sasa inaizidi pointi 10 Real Madrid ikiwa imebakiza mechi moja, wakati ligi imebakiza wiki mbili.
Mabeki wa taji: Carles Puyol na Dani Alves
David Villa akiwasili kwenye sherehe za ubingwa Barcelona
Cesc Fabregas na mpenzi wake, Daniella Semaan wakiwasili
Eniesta akiwa na kimwana wake
Gerard Pique akiwa na wake wa ubani
Kocha Tito Vilanova akiwasili, picha na Bin Zubeiry
1 comment:
haya mambo ya nyumba ndogo na cheating zilivyojaa bongo ukisema Yanga walete vimwana wao kusherekea ushindi si utazua kesi za fumanizi shughulini mhh inakua kweli?
Post a Comment