Wednesday, June 12, 2013

AMEMMEZA MWANAMKE SIKU MBILI ZILIZO PITA

Linda Laina Nyatoro, a South African reporter witnessed the incident and sent this picture. The giant snake swallowed a woman two days ago, near Durban North, South Africa.

9 comments:

Anonymous said...

watu wa kusini wachawi wee aisee usisikiye mungu amsaidiye tu huyu mama atoke yani huyu unaweza sema ni nyoka lakini si nyoka ni shetani amekuja kumvaa yani mungu tu amsadiye dunia hii watu wabaya sana lakini ukisimama pamoja na mungu kwa imani isiyotetereka hawatokuweza hawa wachawi nuksi

Anonymous said...

jamaniii ssa kwann wasiuue ili waokoe maisha ya huyo mwanamke? africa is my country but their stupid sometimes...lol

Anonymous said...

Ukishafika tumboni maiti siku nyingi...

Anonymous said...

Africa is your country? Country haswa??? Tutafika kwa mwendo huu.....mmmh kazi kweli kweli.

Anonymous said...

Too late bro.... Huyo kesha kufa iliyobaki ni utafiti wa kitaaluma na kutoa maiti.
BTW..... Kiingereza fasaha... Ni THEY ARE siyo THEIR..
kama darasa la unge'nge limekupita, wachana na lugha ya Malkia jamani!!!

Anonymous said...

mdau ulie toa mada ya kwanza kabisa nakubaliana na wewe. waweza kuta hata hilo si nyoka ni nguvu za giza. Ni shetani hilo. dunia imeharibikaaa kabisa yaani kwishney. Mungu tusaidie. Huyo mama hawezi toka hai maana hapati hewa humo.

Anonymous said...

msihamini sana uchawi ,kapita kwenye anga zake kamkamata ,, ata huyo nyoka angwahiwa yeye basi naye angekufa kabla ya kumtia huyu mtu tumboni,,,vile vile chatu anakuvunja na kukukuwa kabla haja kumeza kwa hiyo huyo mtu ni mrehem,,jingine namshangaa huyu jamaa anaye mkandya mwenzake kwa ajili ya kiingereza, hiyo ni lugha ya kujifunza lazima makosa yafanyike,siyo kwamba hakusoma kunamrahisi duniani hawajui kiingereza je na wao hawakusoma?, tusiwe hivyo ndugu zangu wabongo.

Anonymous said...

unamrekebisha mwenzio lugha wakati wewe mwenyewe umechapia kwenye lugha yako uliyozaliwa nayo,, siyo "WACHANA" ni "ACHANA'

Anonymous said...

Hahahaha napita tuu!!