Wednesday, June 12, 2013

DIAMOND PLATNUMZ AKANUSHA KUHUSU MIKOPO NA UCHANGISHAJI FEDHA KUPITIA …

Kumekuwa na taarifa za Diamond Platnumz kuwachangisha watu fedha kupitia facebook page yake ya DIAMOND PLATNUMZ, Diamond asema yeye hakutoa ridhaa hiyo ya watu kuchanga pesa kuhusu mikopo … So ametoa taarifa mpya ya kukataa kuhusika na michango hiyo ambayo ni hii hapa …
“TAARIFA MAALUMU KUHUSU POST YA MIKOPO ILIYOWEKWA KWENYE FACEBOOK ACCOUNT YA DIAMOND PLATNUMZ
Habari rafiki, ndugu na mashabiki zangu wote kwa ujumla, kwa wale wanaofatilia Facebook Account zangu yani diamondplatnumz mtakumbukamchana wa leo kuna post ilitumwa kupitia account zangu za facebook ikihusu mambo ya mikopo na kuwataka watu wachangie, ukweli ni kwamba hiyo post imewekwa pasipo ridhaa yangu baada ya watu ambao sawafahamu ku-hack acount yangu na kufanya kitendo hicho, mimi kama Diamond na team yangu nzima ya WASAFI tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza,na 
tunaendelea kufuatilia jinsi ya kuwatia mbaroni waharifu hao wa ku hack acount na kuwafikisha sehem husika ili iwe fundisho kwa wote wenye tabia hiyo.”

#GongaMx

1 comment:

Anonymous said...

bablo bablo sharoobaroo wameshakuingilia na wewe pia kwenye face book pole sana si nilikuambiyeni kuigiza mambo ya wazungu mtakiona cha mtema kuni face book hazi fai ma hackers wanaingia watakavyo shauri yako sharoobaroo wangu diamond