Wednesday, June 12, 2013

MJENGO ANAOMILI MASANJA MKANDAMIZAJI, NI GHOROFA MOJA IPO JIJINI DAR.

Usingizi wa Masanja Mkandamizaji huu hapa 

5 comments:

Anonymous said...

Jamani masanja naomba nioe.pls

Anonymous said...

Hapo umefanya cha maana sana hongera sana Masanja.

Anonymous said...

wasichana wengine wananitia hasira wanatuzalilisha jamii ya wanawake eti umeona mjengo basi unataka uolewe unajua kauhangaikiaje kupataje huu mjengo na unamua meaning unadhani akikuowa utaweza kustahamili kuishi naye siyo kama ni mtu mbaya lakini mapenzi kujuana siku hizi au kwa vile mjengo umekuvutiya basi utagandana naye tu tafuta wako mamaaa

kauli yako hapo juu mamma unatudhalilisha wanawake kwa vitu vidogo vidogo kama mjengo

Anonymous said...

Hongera sana Masanja na Mungu akuzidishie, kweli hata nyumbani mafanikio yapo, sio wengine tuna zaidi ya miaka hapa USA hatuna mjengo kama huo. nimeamini maisha ni popote sio Marekani tu ni Mungu atakavyokubariki.

Anonymous said...

Nimekubali masanja huo ni ushujaa kwa mwanaume sio kuhusisha starehe tu kama wengine