ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 5, 2013

MAMBO YALIVYOKUWA KWENYE COOKOUT ILIYOANDALIWA NA DMK NA MARAFIKI ZAKE WASHINGTON SIKUKUU YA UHURU WA AMERICA!

KUMRADHI PICHA TOKA KWENYE SIMU YA i REPORTER
MAMBO YALIANZA TARATIBU KAMA HIVI
WATU NA FAMILIA ZAO ZIKIZITI KUONGEZEKA
JUA LIKIZAMA NA WATU WAKIZIDI
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWA NJE MAMBO YA MTU NA WAKE
WATU WALIMWAGIKA HADI MLANGONI HAKUPITIKI

KWA PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA TAFADHALI