Thursday, July 18, 2013

WEMA ASHAMBULIWA NA WATU BAADA YA KUWEKA PICHA HII

“Did I miss a spot…? I dunno,” ni maneno ya Wema kwenye picha aliyoiweka leo katika mtandao wa Instagram. Hata hivyo mashabiki wengi wamemshambulia mrembo huyo kwa kile wanachohisi hakupaswa kuiweka katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Haya ni baadhi ya maoni:
nanchesca5 Girl, I’m not trying to fix you,But this is the holy month.Keep it calm.It won’t hurt.
princesswawiey R u sure…ur a muslim? 1
khadijaumumustafa Wewe ni binti wa aina gani usieogopa mwezi mtukufu wa ramadhan ama kweli umeshindikana kabisa hata nachanguduwa uheshim huu mwezi ila wewe ni zaidi SubhanaLLAH.
sweettuma Punguza picha za hivyo vastaraa mwez ukiisha vaa utakavo jst jistir kwamda mfup hailet picha nzur .
mamu30 mhuu wema wangu ulivyokuwa na damu ya kunguni kesho tutaikuta hii picha kwenye mablog itakuwa gumzo ooh wema haheshimu mwezi mtukufu kumbe picha ya sikunyingi wao watadhani ndio unavyovaa hivi wakati wa mfungo lol
hazole Mnaolalamika mwezi mtukufu just unfollow her thn mwezi ukiisha rudini #GivePeopleSpaceToBreath
husnaomary Muislam mzma hata haushim mwez mtukuf wema….emu muogope Allah….picha gn hii na ramadhan hii….innallillah…nakupenda wema bt kumbuka kuwa huu mwez mtukuf…..heshma ishke mkondo wake…dis z Dunia baby…ickushikilie akili yako….nakupenda ndomana nakwambia.

hapnicole Mwenyezi Mungu anasema uwe msafi siku zote nd sio mwezi mmoja tu huo ni unafiki so bora yeye kuliko wewe unae mjaribu yeye kwa mwezi mmoja tu ni mtazamo

sele_yg Unanitega mwezi mtukufu..

2 comments:

Anonymous said...

jamani muachieni anatafuta mume lakini si kwa hivyo na si kwa mwezi wa ramadhan tu ndo watu wawe na heshima jamani tujielimishe dini yetu tuwe wacha wa mungu tumuogope ALLAH Si tu katika mwezi wa ramadhan bali hata miezi minginewe.
siku ikifika ndo wema atajua kama yeye muislamu au vipi inaumiza nakusikitisha kwa yeye ku post hii picha na mtoto wa kiislamu lakini siku Allah akighazibika naye ndo atamjua muachini tu si firauni alikuwa ametakadiri kiasi kuliko wema so yupo wapi sasa maiti yake kila mtu anaiona maonyesho ili iwe funzo so muacheni jamani atabebe jeneza lake mwenyewe msimsema hajijui na nyinyi mnaweza mkawa mnafungua kumbe mnasema watu cha msingi WEMA KAMA MTOTO WA KIISLAMU ULIYEZALIWA NAKULELEKA KATIKA DINI HIYO BASI HESHIMU MWEZI HUU MTUKUFU OTHER WISE KULA BATA MAA KULA BATA KWA SANA ALLAH ANAKUSUBIRI SIKU YAKO

Anonymous said...

Kama kweli Wema alizaliwa na nguo basi mchagulieni mavazi.mbona hamuwasemi wanaokuja na mabauibui kwenye miziki. Dini si maNazi bali Tabia yamtu.....Ramadhani njema.