ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 22, 2013

KUOLEWA KUTAMU JAMANI HIYO NDIYO NDOTO YA KILA MJA HAPA DUNIANI HASA WANAWAKE


3 comments:

Anonymous said...

zana potufu hiyo eti hasa mwanamke wako wanaume wanatafuta wake wa kuwaowa na wana hahaa mitaani na vijumbani na kila leo wakisikia kuna minuso ya kujiachiya ya watanzania kwenye jumuiya na vipati mchwara mchwara wanavyovianda basi macho kede kede kwa mademu halafu leo mtulete story eti hasa kwa mwanake anataka sana kuolewa si wanawake wa enzi hizi mwanamke kama anataka kuolewa kwanza ana mcheki atamfaa na yuko fresh siyo dhana za zamani hatakiwi mwanamme suruali enzi hizi labda ukiona hivyo huyo mwanamke yuko so desparately

so futeni dhana mbovu kwamba hasa hasa mwanamke ndo ndoto yake kuolewa, siku hizi ngoma draw mwanamme naye anatafuta mkee mwema amuowe, ampikiye chapati na maini na kurebulia macho na kumfulia etc kila mmoja anatafuta stara, so futeni dhana mbovu kichwani na kama hamtaki basi mtaishia kuwapata wanawake feki au ndowa zisizoshikika na kesho kesho kutwa talaaka mbele au mke analiwa na bossi ha ha ha kazi ipo poleni eeh

Anonymous said...

Khama! Si kweeli hataa kidogo!!!!!! kUOLEWA is ndoto ya Kila mtu hapa duniani! Kuna waaatu wengi hawajaolewa na hawataki kUOLEWA kabisaaaa! Mie binafsi nimeolewa ila najuwa wasichana kibao wasio na wazo la kUOLEWA na Hawaoni umuhimu wa kUOLEWA na wana raha na Amani kabisaaaaaaaaaaaa!!!!

Anonymous said...

Jamani sisi tusioolewa twataka sana kuolewa na kuzaaa!! I know I do!! sipati tu wa kunioa mieeeee na uzee unaniingia sitaki kuishi peke yangu maisha yangu yote. Na wakati mwingine twasema hatutaki lakini twataka sana tu ni kwa sababu hatupati mwanaume ambaye yuko serious na kuoa.