ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 5, 2013

WABUNGE WACHAPANA NGUMI ZA KAVU KAVU BUNGENI HAPO SASA

Picha: Ni wabunge wa Taiwan 'walivyoadabishana' jana baada ya kupishana maelewano kufuatia mpango wa kupiga kura ya maoni iliyoazimia kuidhinisha umaliziwaji wa mradi wa nne wa Nyuklia katika kisiwa ambacho kinakaliwa na watu wapatao milioni 23.

No comments: