Habari,
Najua tunaweza kuwa tunatafuta ajira ama kuna ndugu zetu ama jamaa zetu wanatafuta ajira. Mahali wanaweza kupata taarifa za kazi zikitangazwa kila siku ni: www.ajirakwanza.co.nr
Tunaweza kuwataarifu na wenzetu hasa wanaotafuta ajira.
Ahsanteni,
Admin - www.ajirakwanza.co.nr
1 comment:
nilidhani hii website ni kwa ajili ya watanzania waishio marekani etc kumbe bongo halafu imekaa kwa ajili ya wasomi somi jamani nyeeeeeee sisi mabumbubu hatuangaiwi kwa nini?
Post a Comment