Saturday, September 14, 2013

MAPOKEZI YA SHANGWE KWA MHE. NCHEMBA KATIKA JIJI LA WAJANJA OAKLAND - CALIFORNIA. UFUNGUZI LEO SEPT 14 USIKOSE CHAKULA NA VINJWAJI VYA KUMWAGA. USIKOSEE !!!!!







6 comments:

Anonymous said...

Magamba.

Anonymous said...

Mhe. Huku wanaume hawashikani mikono kihivyo,inaleta hisia za......., nawashangaa hao wenyeji wako wanakuchora hivyo

Anonymous said...

JE MKO TAYARI KUPIGA KURA 2015 AU MNANGOJEA KUPATIWA TIKETI ZA BURE KWENDA KUSHANGAA NA KUPIGA KURA ZA UONGO.? Tawi ughaibuni wakati wenyewe tumegawanyika.!

Anonymous said...

magamba kweli kweli wenye akili zenu jiulizeni hivi kwa nini tuwe na magamba u.s.a na u.k? badala ya maendeloe ya maisha yetu eti leo tuwe na magamba uanachama tumeshauacha home au ndo ulaji kwa ulaini ukigia kuwa magamba na kuwa chadomo kimbele mbele

Anonymous said...

sijui wanafuraha gani wakati mtanzania kila siku nafuu ya jana

Anonymous said...

Pia msisahau kutuonesha ndani ya ukumbi. Najua kutakuwa na aibu tupu. Hapatakuwa na watu.