Mh.Mwigulu akiwa na Dada Loveness Mamuya wa CCM-DMV
Mh.Mwigulu akiwa na Mzee Rajab Luhwavi
Msaidizi wa Rais katika masuala ya siasa, Bw. Rajab Luhwavi
Frank Mutafungwa na Novatus Simba
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Houston, Bw.Simba
Bw.Kitogo akijadiliana na Dada Amina Lesso
Wana-CCM
Mwenyekiti wa CCM-Texas Bw.Simon Makangula (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wake Bw.Abdallah Nyangassa
Bw.Arip (kushoto) akiwa na Bw.Ligate
Mzee Tenende akitoa hoja
9 comments:
Loveness Mamuya Mbunge mtarajiwa... Unakimbiza dada 2015 mjengoni hukosiii...hao wengine hata sijui nia yao au ndio KUUZA SURA
Sasa nimeamini hawa watu sio watanzania na wanajua kabisa hawana nafasi katika Taifa letu. Naishi Houston, Texas na mpaka leo, hakuna tawi lolote linaloitwa tawi la CCM. Huyu Bwana Mwigulu alikuja hapa Houston kimya kimya wakaitana watu wake kama kumi (jinsi wanavyoonekana kwenye picha). Houston kuna watanzania wasiopungua miatano. Sasa iweje huyu bwana avute watu kumi tu? Wengi wa hawa vijana hawana mapenzi mema. Wanatafuta ukuu wa wilaya na deals mbalimbali. Walijua kabisa wakitangaza huu mkutano, maswali ya kiutu uzima yangeulizwa sana maana watu wengi wamechoka na maonyesho ya CCM. Hivyo wakaamua kuitana na kupiga Picha. Hakuna tawi lolote. Hawa watu hawana mapenzi mema na taifa letu. Wanafanya hivi kwa gharama ya watanzania wenyewe.
mbona haya matawi yanafunguliwa ktk apartment za watu,ina maana hivi vyama havina ofisi au kukodi ukumbi?
Wajinga ndio tuliwao
Acheni kutudanganya,hizi ni njama za kutumia fedha za walipa kodi kiaina na Hakuna la maana linalofanywa hapa. Badala ya kuwaunganisha wana-Diaspora kuweza kuwasaidia watanzania kule nyumbani na kuboresha hali ya elimu kwa misaada ambali mbali tunakaa kwenye viapartment kupiga picha za uongo. Na kubeba masanduku ya nguo za kijani toka Tanzania. Tutaendelea na tabia hizi hadi lini??
hahaha love that,wajinga ndio tuliwao,njaaa,njaa,ndio maana bongo haitaendela hata wakija wajukuu wa watoto wanao zaliwa leo,kila mtu hapo ni yarabi tumbo langu,nyooooooo...na luka usiibanie hii...
kisheria USA hairuhusu kusajiri chama chochote cha nchi za nje ya Marekani.Kwa hiyo haya ni mambo ya kienyeji ya kupotezeana wakati hata wakikutapeli hawa hutakuwa na nguvu ya kushitaki kwa sababu hio.
Changa la macho kwa watanzania.
hivi huyo loveness si alijiuzuru/kufukuzwa?/sasa mbona anajirudisha tena?hii ni propaganda walimtayarisha ajiuzuru kwa makusudi ili wampachike title nyingine aendelee kuula na pesa za wavuja jasho kwa mfano kama Fanuel ni nobody why yuko anazunguka kufungua matawi?wanapeana ulaji wao kwa wao wanatumana Tanzania na wanalipiwa kila kitu jamani hii si haki kabisa kuna mdada mmoja hapa DMV alikua bongo kwa ajili ya ccm ameua sooo eti alikua na issues zake binafsi na familia wakati ukweli uko wazi na tuna uhakika jinsi huduma zote alizopewa ndani na nje ya nchi!Wizi wa machomacho makavu,naipenda ccm ndio chama kilichonikuza bali wizi na ubadhirifu umekithiri mno tena kweupeeee mnaonyesha dhahiri,ila mmenishangaza sana kufungua tawi kwenye apartment ya mtu? why hamkutangaza na kuitisha mkutano?nina amaini wana ccm wako wengi kule lakini sijui ni nini haswa kilitokea,tafadhali LUKE wakilisha ujumbe wangu huu ni ukweli si matusi wala kumchafulia mtu siku yake.Asante sana.
Post a Comment