MSANII wa sinema za Kibongo,Zuwena Mohemed‘Shilole ameandikiwa barua yenye ujumbe mzito na mtoto wake aitwaye Joyce akimuasa mama yake kuwa care na kila kitu anachokifanya.
Shilole ameipost barua hilo kupitia matandao wa instagaram huku akiandika …Asante mwanangu sijui umefikiria nn? Dah mungu nikuzie wanangu coz ndo faraja yangu. Hiii barua nimeikuta kaniwekea harafu yy kaishaondoka shule miss u my baby girl soma kwa uwezo wako wote mi natafuta kwa ajir yenu….
Baadhi wa watu wakitoa maoni yao kuwa ni barua nzuri yenye ujumbe mzuri hasa kwa mtoto mdogo kuandika maneno mazito kama hayo.
Mtoto wa Shilole |
No comments:
Post a Comment