Mbongo anatafuta nyumba yenye vyumba viwili katika nyumba, condo au apartment ya ku-share na mtu mwingine.
Kama unatafuta mtu wa ku-share naye katika nyumba, condo ama apartment maeneo ya College Park,Takoma, Greenbelt, Largo Town Center, Cheverly au Silverspring
Wasiliana nasi haraka katika email swahilitv@gmail.com
simu 301 305 9685



1 comment:
Mjini hapa nyumba zinatafutwa, au unaenda na kupanga ziko kibao wala huulizi. huna haja ya kupitia matangazoni.
Post a Comment