Luteni Rajabu Ahmed Mlima Enzi ya Uhai wake
Familia ya Mlima inawataarifu kisomo cha mtoto wao Luteni Rajabu Ahemed Mlima(mdogo wake Mayor Mlima anayeishi DMV) kitakachofanyika leo Jumamosi November 2, 2013 Wheaton Maryland kuanzia saa 11 jioni ukiisoma taarifa hii tafadhali mueleze na jirani yako.
Address ya kisomo ni
11901 Claridge Rd,
Wheaton, MD 20902
Address hii ni pale Mhe. Balozi aliposhiriki sherehe ya Eid na Watanzania DMV pia na kama GPS itashindwa kuipata Address hii kwa kutumia Wheaton basi badilisha na tutumia Silver Spring
Address hii ni pale Mhe. Balozi aliposhiriki sherehe ya Eid na Watanzania DMV pia na kama GPS itashindwa kuipata Address hii kwa kutumia Wheaton basi badilisha na tutumia Silver Spring
Kufika kwako ndio mafanikio ya kisomo hiki
KARIBUNI
No comments:
Post a Comment