ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 2, 2013

HAPPY BIRTHDAY

Dada Happyness From Dar es Salaam Tanzania
Timu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa
--------------------------------------------------------------------
Habari ya kazi, pole na majukumu ya kutuhabarisha kwa kweli mimi ni mdau wa hii blog nimekuwa na tabia ya kuangalia mara kwa mara kupata hasa habari za nje hususani USA na kwingine kama hapa nchini yaani big up sana huona marafiki na jamaa zangu huko usa na kufuatilia mambo mbalimbali kama msiba wa Martha Shani, ila hamjatuhabarisha mazishi yake hapa Dar tungeweza hata kuhudhuria kwani ulitugusa wengi hasa watoto wake jamani na baba yao.

Nakupongeza kwa kutuhabarisha kazi njema. 
Its me Dada 
Happiness.

Vijimambo na timu yake inakushukuru sana na imefarijika sana na wewe kuwa mdau unayeifuatilia Libeneke hili la Vijimambo asante sana kwa ukaribu wako na blog hii pia tunapenda kukutaarifu Vijimambo ni App yake ambayo unaweza kuidowload kama una simu ya Iphone, Android au kama Galaxy Tab au Ipad
unachatakiwa kufanya unaenda kwenye Apps unatafuta Vijimambo Blog Asante na endelea kuwa nasi.

1 comment:

Anonymous said...

Happy Birthday Happiness,

Hongera sana!

I'm wishing many more birthdays for the years to come.

Keep in touch basi jamani ;malynnib@yahoo.com

Ni mimi XY:-)