Bondia mkonwe Iraki Huddu aka "Simba asiye zeeka" juzi kati alionekana tena
katika ukumbi wa Milimani City, kumsindikia bint yake Bi.Mkumwena Huddu ambaye amemaliza kuitimu na kupata shahada ya BA - Culture Heritage chuo kikuu cha UDSM ,Iraki Huddu anaonekana anawapandisha watoto
wake katika ulingo wa ELIMU ya juu sio ulingo wa ngumi, Bint huyo Mkumwena Huddu
sasa anaenda UDOM -Dodoma kuchukua MA,Natural Resource.
Ni miezi ya nyuma tu mtoto wake mwingine alichukua nondo kule UDOM....
sasa Bondia Iraki Udu anasema Boxing for High Education....kwa familia yake
No comments:
Post a Comment