ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 23, 2013

ETI HAWA NI WANAFUNZI TOKA KENYA DUH !!

7 comments:

Anonymous said...

Mtanzania yeyote ambaye mishipa yake ya aibu inafanya kazi hawezi kunyoshea kidole wanafunzi wa Kenya ambao ni the best of the best in East Africa ki-elimu. Kama wanafaulu sana halau wanaburudika kwa muziki kuna tatizo gani? Ni bora kwanza tukosoe watoto wetu wanaoshindia magazeti ya Diamond na Wema badala ya kusoma vitabu.

Anonymous said...

cha ajabu nini?

Anonymous said...

cha ajabu nini?

Anonymous said...

chezeya english medium

Anonymous said...

We kenyans we luv having funs expecially saturdays in boarding sculs
so watanzania mtajiju

Anonymous said...

Tatizo hapa sio kuwa mkenya/mtanzania, ni jinsi watoto wakike wasivyojuwa maadili ya binti wa kiafrika. wanaonekana ni wasichana wadogo lakini matendo yao mmmh je wazazi walipa ada wanakubaliana ha hizi tabia?

Anonymous said...

This reminds me of the good old high school days,have fun girls.