Kylie Jenner (mdogo wa Kim Kardashian) na Jaden Smith mambo si mabaya. Binti sasa anapata huduma zote anazostahili mtoto wa kike kupata kutoka kwa mpenzi wake wa kiume. Ili linathibitika pale ambapo kidume kiliingia SONARA na kununua mkufu wa dhahabu na kumvalisha mpenzi wake. Wapenzi hawa wote wanatoka kwenye familia za kitajiri na maarufu sana duniani.
No comments:
Post a Comment