Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimemvua nyadhifa zote za uongozi naibu katibu mkuu wa chama hicho Mh. Zitto Kabwe na wenzie wawili kufuatia vitendo walivyofanya vya kukihujimu chama hicho na kupewa siku kumi na nne za kujieleza kimaandishi kwanini wasichukuliwe hatua za kinidhamu ikiwemo kuvuliwa uwanachama
No comments:
Post a Comment